Walinzi wa Pwani ya China wafanya mazoezi kwenye maji ya Huangyan Dao, Bahari ya China ya Kusini (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 16, 2024
Walinzi wa Pwani ya China wafanya mazoezi kwenye maji ya Huangyan Dao, Bahari ya China ya Kusini
Picha hii iliyopigwa Mei 12, 2024 ikionyesha meli za Walinzi wa Pwani ya China (CCG) zikiendeshwa wakati wa mazoezi katika Bahari ya China ya Kusini. (Picha na Rao Bin/Xinhua)

BAHARI YA CHINA KUSINI - Walinzi wa Pwani ya China (CCG) wamefanya mazoezi ya kawaida wakati wa operesheni za ulinzi wa haki na usimamizi wa utekelezaji wa sheria kwenye Kisiwa cha Huangyan (Huangyan Dao) katika Bahari ya China ya Kusini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha