Walinzi wa Pwani ya China wafanya mazoezi kwenye maji ya Huangyan Dao, Bahari ya China ya Kusini (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 16, 2024
Walinzi wa Pwani ya China wafanya mazoezi kwenye maji ya Huangyan Dao, Bahari ya China ya Kusini
Msimamizi wa utekelezaji wa sheria akitazama kwa darubini kwenye meli ya "China Coast Guard (CCG) 3502" katika Bahari ya China ya Kusini, Mei 13, 2024. (Xinhua/Wang Yuguo)

BAHARI YA CHINA KUSINI - Walinzi wa Pwani ya China (CCG) wamefanya mazoezi ya kawaida wakati wa operesheni za ulinzi wa haki na usimamizi wa utekelezaji wa sheria kwenye Kisiwa cha Huangyan (Huangyan Dao) katika Bahari ya China ya Kusini.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha