

Lugha Nyingine
Walinzi wa Pwani ya China wafanya mazoezi kwenye maji ya Huangyan Dao, Bahari ya China ya Kusini
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 16, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa Mei 13, 2024 ikionyesha meli ya "China Coast Guard (CCG) 3502" ikitoa ugavi wa mahitaji na vifaa kwenye meli nyingine katika Bahari ya China ya Kusini. (Xinhua/Wang Yuguo) |
BAHARI YA CHINA KUSINI - Walinzi wa Pwani ya China (CCG) wamefanya mazoezi ya kawaida wakati wa operesheni za ulinzi wa haki na usimamizi wa utekelezaji wa sheria kwenye Kisiwa cha Huangyan (Huangyan Dao) katika Bahari ya China ya Kusini.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma