

Lugha Nyingine
Habari ya Picha: Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya Kundi la Kabila la Wayao katika Mkoa wa Guangxi, China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
![]() |
Wanakijiji wakipiga picha baada ya kutumbuiza ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano katika Tarafa inayojiendesha ya Kabila la Wayao ya Jinxiu, China, Julai 10, 2024. (Xinhua/Lu Boan) |
Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya kabila la Wayao imeorodheshwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma