

Lugha Nyingine
Habari ya Picha: Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya Kundi la Kabila la Wayao katika Mkoa wa Guangxi, China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
![]() |
Pan Jinhai (kushoto), mrithi wa ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano, na Pan Ningyong, mrithi wa ufundi wa kutengeneza ngoma hiyo wakicheza ngoma hiyo katika Tarafa inayojiendesha ya Kabila la Wayao ya Jinxiu, China, Julai 10, 2024. (Xinhua/Lu Boan) |
Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya kabila la Wayao imeorodheshwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma