Habari ya Picha: Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya Kundi la Kabila la Wayao katika Mkoa wa Guangxi, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 12, 2024
Habari ya Picha: Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya Kundi la Kabila la Wayao katika Mkoa wa Guangxi, China
Pan Jinhai (mbele), mrithi wa ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano, na Pan Ningyong, mrithi wa ufundi wa kutengeneza ngoma hiyo wakiwa wamebeba ngoma za kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano kuelekea kutumbuiza katika Tarafa inayojiendesha ya Kabila la Wayao ya Jinxiu, Mkoa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, China Julai 10, 2024. (Xinhua/Lu Boan)

Ngoma ya kupigwa na kuchezwa kwenye matope ya manjano ya kabila la Wayao imeorodheshwa kwenye orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa kitaifa wa China.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha