Long/Wang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2024
Long/Wang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
Wachezaji wa China Long Daoyi(wa kwanza kulia)/Wang Zongyuan(wa pili kulia) wakishangilia ushindi wao kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024, tarehe 2, Agosti 2024.

Siku hiyo, wachezaji wa China Long Daoyi(kulia)/Wang Zongyuan wamepata medali za dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024.

(Mpiga picha: Zhang Yuwei/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha