Long/Wang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris (8)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Agosti 03, 2024
Long/Wang wa China Washinda Medali za Dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Paris
(Kushoto hadi Kulia) Washindi wa medali za fedha Juan Manuel Celaya Hernandez /Osmar Olvera Ibarra wa Mexico, washindi wa medali za dhahabu Long Daoyi/Wang Zongyuan wa China na washindi wa medali ya shaba Anthony Harding /Jack Laugher wa Uingereza wakiwa kwenye hafla ya kutunuku medali washindi baada ya mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024, tarehe 2, Agosti 2024.

Siku hiyo, wachezaji wa China Long Daoyi(kulia)/Wang Zongyuan wamepata medali za dhahabu kwenye mashindano ya mchezo wa wachezaji wawili wa kiume kupiga mbizi pamoja kutoka kwenye jukwaa la kimo cha mita 3 kwenye Michezo ya Olimpiki ya Majira ya Joto ya Paris 2024.

(Mpiga picha: Zhang Yuwei/Xinhua)

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha