Lugha Nyingine
Shughuli Mbalimbali zenye Kuvutia Zasherehekea Sikukuu ya Mavuno ya China (4)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Septemba 22 ni siku ya Mlingano wa Muda wa Mchana na Usiku ambayo kwa Lugha ya Kichina inatwa Qiufen katika kalenda ya kilimo ya China. Katika siku hiyo, China imekaribisha Sikukuu ya Saba ya Mavuno ya Wakulima ya China Mwaka 2024, na sehemu mbalimbali nchini kote zimefanyika shughuli zenye kuvutia kufurahia mavuno mazuri.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma