Shughuli Mbalimbali zenye Kuvutia Zasherehekea Sikukuu ya Mavuno ya China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Shughuli Mbalimbali zenye Kuvutia Zasherehekea Sikukuu ya Mavuno ya China
Watangazaji wakiuza bidhaa kwenye matangazo ya moja kwa moja mtandaoni kwenye tamasha kuu la Mkoa wa Hubei la Sikukuu ya Mavuno ya Wakulima ya China Mwaka 2024 lililofanyika katika Kijiji cha Hongtang cha Mtaa wa Chengbei, Wilaya ya Yingcheng, Mji wa Xiaogan, Mkoa wa Hubei, China, Septemba 22.(Xinhua/Du Zixuan)

Septemba 22 ni siku ya Mlingano wa Muda wa Mchana na Usiku ambayo kwa Lugha ya Kichina inatwa Qiufen katika kalenda ya kilimo ya China. Katika siku hiyo, China imekaribisha Sikukuu ya Saba ya Mavuno ya Wakulima ya China Mwaka 2024, na sehemu mbalimbali nchini kote zimefanyika shughuli zenye kuvutia kufurahia mavuno mazuri. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha