Shughuli Mbalimbali zenye Kuvutia Zasherehekea Sikukuu ya Mavuno ya China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 23, 2024
Shughuli Mbalimbali zenye Kuvutia Zasherehekea Sikukuu ya Mavuno ya China
Wasanii wakitumbuiza kwenye tamasha kuu la Mkoa wa Yunnan la Sikukuu ya Saba ya Mavuno ya Wakulima ya China lililofanyika katika Kijiji cha Longjiang, Wilaya ya Longling, Mji wa Baoshan, Mkoa wa Yunnan, China, Septemba 22. (Xinhua/Chen Xinbo)

Septemba 22 ni siku ya Mlingano wa Muda wa Mchana na Usiku ambayo kwa Lugha ya Kichina inatwa Qiufen katika kalenda ya kilimo ya China. Katika siku hiyo, China imekaribisha Sikukuu ya Saba ya Mavuno ya Wakulima ya China Mwaka 2024, na sehemu mbalimbali nchini kote zimefanyika shughuli zenye kuvutia kufurahia mavuno mazuri. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha