Miji ya Kusini Magharibi mwa China yageuza ardhi ya chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2024
Miji ya Kusini Magharibi mwa China yageuza ardhi ya chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea
Picha hii iliyopigwa Septemba 19, 2024 ikionesha duvi kwenye kituo cha ufugaji wa duvi huko Helan, Yinchuan, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wahui wa Ningxia, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Yang Zhisen)

Katika miaka ya hivi karibuni, miji ya Yinchuan na Qingtongxia katika Mkoa wa Ningxia, Kusini Magharibi mwa China imegeuza kwa mafanikio ardhi za chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha