Miji ya Kusini Magharibi mwa China yageuza ardhi ya chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2024
Miji ya Kusini Magharibi mwa China yageuza ardhi ya chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea
Picha ya kuunganisha ikionesha eneo la ujenzi wa bustani ya utalii wa ikolojia kijijini Machi 25, 2024 (juu), na mazao yanayokua kwenye bustani hiyo Septemba 20, 2024 (chini, picha na Yang Zhisen wa Xinhua) huko Yinchua, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wahui wa Ningxia, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua)

Katika miaka ya hivi karibuni, miji ya Yinchuan na Qingtongxia katika Mkoa wa Ningxia, Kusini Magharibi mwa China imegeuza kwa mafanikio ardhi za chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha