Miji ya Kusini Magharibi mwa China yageuza ardhi ya chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea (9)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Septemba 27, 2024
Miji ya Kusini Magharibi mwa China yageuza ardhi ya chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea
Katika picha hii, wavuvi wakivua samaki kwenye kituo cha ufugaji viumbe wa majini huko Helan, Yinchua, Mkoa unaojiendesha wa kabila la Wahui wa Ningxia, Kusini Magharibi mwa China. (Xinhua/Yang Zhisen)

Katika miaka ya hivi karibuni, miji ya Yinchuan na Qingtongxia katika Mkoa wa Ningxia, Kusini Magharibi mwa China imegeuza kwa mafanikio ardhi za chumvi na alikali kuwa maeneo ya kupanda na kukuza mimea.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha