Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing (3)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing
Picha hii iliyopigwa Oktoba 17, 2024 ikionyesha mfano wa meza ya mchanga ya majaribio ya kiotomatiki ya jukwaa la magari ya teksi za kuchangia la Kampuni ya Didi Chuxing ikioneshwa kwenye Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani Mwaka 2024 unaofanyika Beijing, China. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani Mwaka 2024 umeanza Beijing, mji mkuu wa China jana Alhamisi, ambapo wakati wa mkutano huo mfululizo wa shughuli mbalimbali zitafanywa ili kuhimiza maendeleo ya magari ya teknolojia ya kisasa yaendelee sambamba na sekta husika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha