Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing
Watembeleaji wakitazama magari yanayojiendesha yenyewe bila dreva yanayoonyeshwa kwenye Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani 2024 yanayofanyika Beijing, China, Oktoba 17, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani Mwaka 2024 umeanza Beijing, mji mkuu wa China jana Alhamisi, ambapo wakati wa mkutano huo mfululizo wa shughuli mbalimbali zitafanywa ili kuhimiza maendeleo ya magari ya teknolojia ya kisasa yaendelee sambamba na sekta husika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha