Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 18, 2024
Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani 2024 waanza Beijing
Watu wakitembelea banda la maonyesho la Kampuni ya Mawasiliano ya Simu ya China, China Telecom kwenye Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa Duniani Mwaka 2024 yanayofanyika Beijing, China, Oktoba 17, 2024. (Xinhua/Chen Zhonghao)

Mkutano wa Magari ya Teknolojia ya Kisasa ya Mawasiliano ya Habari na Mtandao Duniani Mwaka 2024 umeanza Beijing, mji mkuu wa China jana Alhamisi, ambapo wakati wa mkutano huo mfululizo wa shughuli mbalimbali zitafanywa ili kuhimiza maendeleo ya magari ya teknolojia ya kisasa yaendelee sambamba na sekta husika.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Renato Lu)

Picha