Reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, China yazinduliwa rasmi (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2024
Reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, China yazinduliwa rasmi
Abiria walioshika tiketi wakipiga picha na treni G9227, ambayo ni treni ya kwanza ya reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai, kwenye Stesheni ya Reli ya Laizhou katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Oktoba 21, 2024. (Xinhua/Guo Xulei)

Reli ya mwendokasiya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China imeanza kufanya kazi rasmi siku ya Jumatatu, ikiongeza urefu wa jumla wa reli ya mwendo kasi unaoendeshwa mkoani humo hadi kufikia kilomita 3,047. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)

Picha