

Lugha Nyingine
Reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, China yazinduliwa rasmi (5)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2024
![]() |
Picha hii iliyopigwa Oktoba 21, 2024 ikionyesha treni ya mwendokasi G9227 ikiwasili kwenye Stesheni ya Reli ya Laizhou katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China. (Xinhua/Guo Xulei) |
Reli ya mwendokasiya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China imeanza kufanya kazi rasmi siku ya Jumatatu, ikiongeza urefu wa jumla wa reli ya mwendo kasi unaoendeshwa mkoani humo hadi kufikia kilomita 3,047.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma