Reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, China yazinduliwa rasmi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 22, 2024
Reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, China yazinduliwa rasmi
Wafanyakazi walioshiriki katika hafla ya uzinduzi wa reli ya mwendokasi ya Weifang-Yantai wakiwa katika picha ya pamoja ndani ya treni G9227 katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China, Oktoba 21, 2024. (Xinhua/Guo Xulei)

Reli ya mwendokasiya Weifang-Yantai katika Mkoa wa Shandong, Mashariki mwa China imeanza kufanya kazi rasmi siku ya Jumatatu, ikiongeza urefu wa jumla wa reli ya mwendo kasi unaoendeshwa mkoani humo hadi kufikia kilomita 3,047. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Deng Jie)

Picha