Uvumbuzi wapanga upya muundo wa ukuaji uchumi katika eneo la magharibi mwa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Uvumbuzi wapanga upya muundo wa ukuaji uchumi katika eneo la magharibi mwa China
Vifaa vya kiotomatiki vikionekana katika picha kwenye kiwanda cha vyombo onyeshi katika Mji wa Chongqing, kusini magharibi mwa China, Septemba 20, 2024. (Xinhua/Wang Quanchao)

BEIJING - Kwa miaka mingi, hatua kadhaa za mageuzi zimekuwa zikitolewa ili kutumia zaidi kikamilifu uwezo wa fursa za ukuaji kiuchumi za eneo la magharibi mwa China ambalo lina maeneo pana na rasilimali nyingi, kwa kujikita katika kukuza viwanda vinavyoibukia na kuharakisha kubadilisha muundo wa viwanda.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha