Lugha Nyingine
Uvumbuzi wapanga upya muundo wa ukuaji uchumi katika eneo la magharibi mwa China (8)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Watafiti wakifanya kazi kwenye maabara ya Taasisi ya Xi'an ya Lenzi na Mitambo ya Usahihi, Akademia ya Sayansi ya China mjini Xi'an, Mkoani Shaanxi, kaskazini magharibi mwa China, Machi 11, 2024. (Xinhua/Zhang Bowen) |
BEIJING - Kwa miaka mingi, hatua kadhaa za mageuzi zimekuwa zikitolewa ili kutumia zaidi kikamilifu uwezo wa fursa za ukuaji kiuchumi za eneo la magharibi mwa China ambalo lina maeneo pana na rasilimali nyingi, kwa kujikita katika kukuza viwanda vinavyoibukia na kuharakisha kubadilisha muundo wa viwanda.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Mandhari ya majira ya mpukutiko ya Hifadhi ya Taifa ya Ardhi Oevu ya Huaxi huko Guiyang, China
Barabara Kuu ya Jianhe-Liping yafunguliwa kwa matumizi ya umma kusini magharibi mwa China
Wanariadha wa Ethiopia washinda mbio za Marathon za Amsterdam
Maua ya krisanthemum yaingia msimu wa mavuno huko Liupanshui, Kusini Magharibi mwa China
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma