Uvumbuzi wapanga upya muundo wa ukuaji uchumi katika eneo la magharibi mwa China (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Oktoba 29, 2024
Uvumbuzi wapanga upya muundo wa ukuaji uchumi katika eneo la magharibi mwa China
Kifaa cha umwagiliaji kiotomatiki kikimwagilia miche ya mizeituni kwenye banda la kilimo cha kisasa katika Mji wa Longnan, Mkoani wa Gansu, kaskazini-magharibi mwa China, Oktoba 28, 2024. (Xinhua/Lang Bingbing)

BEIJING - Kwa miaka mingi, hatua kadhaa za mageuzi zimekuwa zikitolewa ili kutumia zaidi kikamilifu uwezo wa fursa za ukuaji kiuchumi za eneo la magharibi mwa China ambalo lina maeneo pana na rasilimali nyingi, kwa kujikita katika kukuza viwanda vinavyoibukia na kuharakisha kubadilisha muundo wa viwanda.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha