Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya China yashuhudia pilika nyingi za kazi (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya China yashuhudia pilika nyingi za kazi
Picha ya droni ikionyesha wafanyakazi wakiainisha vifurushi katika kituo cha usambazaji wa bidhaa cha Shirika la Posta la China tawi la Zunhua katika Mji wa Zunhua, Mkoa wa Hebei, Kaskazini mwa China, Novemba 11, 2024. (Picha na Liu Mancang/Xinhua)

Wazalishaji bidhaa, majukwaa ya biashara ya mtandaoni na kampuni za usambazaji wa bidhaa kote nchini China ziko katika pilika nyingi za kazi kushughulikia mahitaji ya wateja katika Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya kila mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha