Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya China yashuhudia pilika nyingi za kazi (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya China yashuhudia pilika nyingi za kazi
Mfanyakazi akipanga vifurushi katika kituo cha usambazaji wa bidhaa cha Kampuni ya Kufikisha Oda za Wateja kwa Haraka ya YTO katika Mji wa Jurong, Mkoa wa Jiangsu, Mashariki mwa China, Novemba 11, 2024. (Picha na Zhong Xueman/Xinhua)

Wazalishaji bidhaa, majukwaa ya biashara ya mtandaoni na kampuni za usambazaji wa bidhaa kote nchini China ziko katika pilika nyingi za kazi kushughulikia mahitaji ya wateja katika Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya kila mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha