Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya China yashuhudia pilika nyingi za kazi (7)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Novemba 12, 2024
Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya China yashuhudia pilika nyingi za kazi
Wafanyakazi wakitangaza moja kwa moja mtandaoni bidhaa za vitu vya wanyama vipenzi wa kuishi nyumbani na binadamu katika Wilaya ya Pingyang, Mkoa wa Zhejiang, Mashariki mwa China, Novemba 11, 2024. (Picha na Su Qiaojiang/Xinhua)

Wazalishaji bidhaa, majukwaa ya biashara ya mtandaoni na kampuni za usambazaji wa bidhaa kote nchini China ziko katika pilika nyingi za kazi kushughulikia mahitaji ya wateja katika Siku ya Novemba 11 ya Manunuzi ya kila mwaka.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha