Treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya iliyobeba bidhaa kwa ajili ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yawasili Xi'an (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 13, 2025
Treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya iliyobeba bidhaa kwa ajili ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yawasili Xi'an
Wateja wakitazama bidhaa za unga wa ngano kutoka Kazakhstan kwenye duka katika Bandari ya Kimataifa ya Xi'an Chanba mkoani Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Januari 10, 2025. (Xinhua/Li Yibo)

Treni ya mizigo ya China-Ulaya iliyokuwa imebeba bidhaa za unga wa ngano kutoka Kazakhstan zenye uzito wa tani 1,300 imewasili Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China siku ya Ijumaa, hii ni treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya ya kuingia bandari hiyo ya China iliyobeba bidhaa kwa ajili ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha