

Lugha Nyingine
Treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya iliyobeba bidhaa kwa ajili ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yawasili Xi'an
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 13, 2025
![]() |
Treni ya mizigo ya China-Ulaya ikiwasili kwenye Bandari ya Kimataifa ya Xi'an Chanba mkoani Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Januari 10, 2025. (Xinhua/Li Yibo) |
Treni ya mizigo ya China-Ulaya iliyokuwa imebeba bidhaa za unga wa ngano kutoka Kazakhstan zenye uzito wa tani 1,300 imewasili Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China siku ya Ijumaa, hii ni treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya ya kuingia bandari hiyo ya China iliyobeba bidhaa kwa ajili ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma