Treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya iliyobeba bidhaa kwa ajili ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yawasili Xi'an (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Januari 13, 2025
Treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya iliyobeba bidhaa kwa ajili ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China yawasili Xi'an
Picha ya droni ikionyesha treni ya mizigo ya China-Ulaya ikiwa kwenye Bandari ya Kimataifa ya Xi'an Chanba mkoani Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China, Januari 10, 2025. (Xinhua/Li Yibo)

Treni ya mizigo ya China-Ulaya iliyokuwa imebeba bidhaa za unga wa ngano kutoka Kazakhstan zenye uzito wa tani 1,300 imewasili Xi'an, Mkoa wa Shaanxi, kaskazini-magharibi mwa China siku ya Ijumaa, hii ni treni ya kwanza ya mizigo ya China-Ulaya ya kuingia bandari hiyo ya China iliyobeba bidhaa kwa ajili ya sikukuu ya Mwaka Mpya wa Jadi wa China. 

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha