Muhula mpya wa masomo waanza nchini China (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2025
Muhula mpya wa masomo waanza nchini China
Wanafunzi wakifanya mawasiliano kwa njia ya video na timu ya 41 ya watafiti wa Bahari ya Antaktika ya China kwenye shule ya sekondari mjini Shanghai, mashariki mwa China, Februari 17, 2025. (Xinhua/Zhang Jiansong)

Wakiwa na mchanganyiko wa hisia za wasiwasi na msisimko, wanafunzi wengi nchini China wameanza masomo yao katika darasa maalumu la kwanza la muhula mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha