Muhula mpya wa masomo waanza nchini China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2025
Muhula mpya wa masomo waanza nchini China
Wanafunzi wa shule ya sekondari wakijifunza kuhusu ujuzi wa ujenzi wa majengo ya kale ya China kwenye jumba la makumbusho ya uchoraji wa picha mjini Shanghai, Mashariki mwa China, Februari 17, 2025. (Picha na Chen Haoming/Xinhua)

Wakiwa na mchanganyiko wa hisia za wasiwasi na msisimko, wanafunzi wengi nchini China wameanza masomo yao katika darasa maalumu la kwanza la muhula mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha