Muhula mpya wa masomo waanza nchini China (6)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Februari 18, 2025
Muhula mpya wa masomo waanza nchini China
Wanafunzi wakifanya maonyesho ya kwaya kwenye shule ya sekondari mjini Wuzhou, Mkoa wa unaojiendesha wa Kabila la Wazhuang wa Guangxi, Kusini mwa China, Februari 17, 2025. (Xinhua/Huang Xiaobang)

Wakiwa na mchanganyiko wa hisia za wasiwasi na msisimko, wanafunzi wengi nchini China wameanza masomo yao katika darasa maalumu la kwanza la muhula mpya.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha