

Lugha Nyingine
Watu waliokimbia makazi yao nchini DRC bado wanakabiliwa na magumu wanaporejea nyumbani (7)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2025
![]() |
Wakazi wakisafirisha miwa kwenye soko la kienyeji mjini Sake, mji mdogo ulio umbali wa kilomita 27 kutoka Goma, mji mkuu wa Jimbo la Kivu Kaskazini katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC), Mei 11, 2025. (Xinhua/Zheng Yangzi) |
Wakazi wengi wa Sake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walilazimika kukimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya kundi la waasi linalojulikana kwa jina la M23. Ingawa maisha yanarudi kawaida hatua kwa hatua wanaporudi nyumbani, sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa kama vile miundombinu iliyoharibiwa na uhaba wa mahitaji muhimu ya msingi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yaanza Shanghai
Shaolin Kungfu, chombo muhimu cha mawasiliano ya Utamaduni wa China na ulimwengu wa nje
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma