 
				 
			Lugha Nyingine
Watu waliokimbia makazi yao nchini DRC bado wanakabiliwa na magumu wanaporejea nyumbani
 (Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 13, 2025
		Wakazi wengi wa Sake nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) walilazimika kukimbia makazi yao kutokana na mashambulizi ya kundi la waasi linalojulikana kwa jina la M23. Ingawa maisha yanarudi kawaida hatua kwa hatua wanaporudi nyumbani, sasa wanakabiliwa na changamoto kubwa kama vile miundombinu iliyoharibiwa na uhaba wa mahitaji muhimu ya msingi.
(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)
	 - Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China 
 - UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika 
 - Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yaanza Shanghai 
 - Shaolin Kungfu, chombo muhimu cha mawasiliano ya Utamaduni wa China na ulimwengu wa nje 
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
	people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma

