Miti ya jacaranda katika mchanuo wa maua yavutia watalii mjini Kunming, China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 14, 2025
Miti ya jacaranda katika mchanuo wa maua yavutia watalii mjini Kunming, China
(Picha na Chang Qi/Tovuti ya picha ya vip.people.com.cn)

Kwa sasa ni mwanzo wa majira ya joto nchini China, ambapo maua ya miti ya jacaranda yamechanua kikamilifu kwenye barabara ya kati ya Jiaochang Mjini Kunming, Mkoa wa Yunnan wa China.

Watalii hutembelea kwenye mitaa ya rangi ya buluu na zambarau, wakipiga picha za matawi ya maua, au kujipiga picha ya selfie katikati ya maua yanayopukutika, wakihisi na kufurahia uzuri wa kipekee wa mji huo.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha