Rais Xi Jinping akagua mji wa Luoyang wa katikati mwa China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 20, 2025
Rais Xi Jinping akagua mji wa Luoyang wa katikati mwa China
Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) akifahamishwa kuhusu juhudi za wenyeji za kuimarisha kazi ya kuhifadhi na kutumia mali ya urithi wa kihistoria na kitamaduni, na kuhimiza maendeleo ya sifa bora ya shughuli za utamaduni na utalii wakati akitembelea Hekalu la Farasi Mweupe katika mji wa Luoyang, Mkoa wa Henan, katikati mwa China, Mei 19, 2025. (Xinhua/Yan Yan)

ZHENGZHOU - Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) amekagua mji wa Luoyang katika Mkoa wa Henan, katikati mwa China jana Jumatatu ambapo katika ziara hiyo, alitembelea Kampuni ya Kundi la Luoyang Bearing, Hekalu la Farasi Mweupe, na Mapango ya Longmen.

Amefahamishwa kuhusu jitihada za wakazi wa mji huo za kuharakisha maendeleo ya viwanda vya teknolojia ya hali ya juu, kuimarisha kazi ya kuhifadhi na kutumia mali ya urithi wa kihistoria na kitamaduni, na kuhimiza maendeleo ya sifa bora ya shughuli za utamaduni na utalii.

(Wahariri wa tovuti:Zhou Linjia,Zhao Jian)

Picha