

Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping akagua mji wa Luoyang wa katikati mwa China (7)
ZHENGZHOU - Rais wa China Xi Jinping, ambaye pia ni katibu mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) na mwenyekiti wa Kamati Kuu ya Kijeshi ya China (CMC) amekagua mji wa Luoyang katika Mkoa wa Henan, katikati mwa China jana Jumatatu ambapo katika ziara hiyo, alitembelea Kampuni ya Kundi la Luoyang Bearing, Hekalu la Farasi Mweupe, na Mapango ya Longmen.
Amefahamishwa kuhusu jitihada za wakazi wa mji huo za kuharakisha maendeleo ya viwanda vya teknolojia ya hali ya juu, kuimarisha kazi ya kuhifadhi na kutumia mali ya urithi wa kihistoria na kitamaduni, na kuhimiza maendeleo ya sifa bora ya shughuli za utamaduni na utalii.
Miti ya jacaranda katika mchanuo wa maua yavutia watalii mjini Kunming, China
Upandaji mahindi waingia kipindi cha kilele katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China
UNESCO latoa wito upya wa kuimarishwa ulinzi wa maeneo ya urithi ya Afrika
Maonyesho ya Kimataifa ya Baiskeli ya China 2025 yaanza Shanghai
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma