Shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 yaanza Yichun, China (5)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Mei 23, 2025
Shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 yaanza Yichun, China
Picha iliyopigwa kwa droni Mei 22, 2025 ikionyesha mandhari ya Hifadhi ya Kitaifa ya Misitu ya Xishui katika Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini mashariki mwa China. (Xinhua/Xie Jianfei)

Shughuli ya Siku ya Kimataifa ya Anuwai ya Viumbe 2025 imefanyika katika Mji wa Yichun, Mkoa wa Heilongjiang, kaskazini-mashariki mwa China jana Alhamisi, Mei 22, 2025. Ukiwa tajiri wa rasilimali za misitu, Mji huo wa Yichun unajivunia anuwai ya viumbe na mandhari nzuri ya kuvutia.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha