

Lugha Nyingine
Mradi wa kusambaza umeme wa kV 500 wakamilisha kuvuka Mto Huaihe, mashariki mwa China (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 12, 2025
![]() |
Picha hii ikionyesha wafanyakazi wakifanya kazi kwenye njia ya kusambaza umeme katika Wilaya ya Fengyang ya Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Juni 11, 2025. (Xinhua/Liu Junxi) |
Mradi wa kusambaza umeme wenye nguvu ya kV 500 kutoka Xiangjian hadi Ludao katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China umekamilisha kwa mafanikio kuvuka Mto Huaihe jana Jumatano ambapo minara miwili yenye urefu wa mita 193 katika pande zote mbili za Mto Huaihe imefikia umbali mkubwa wa kuvuka mto huo wa mita 1,578.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
LEGOLAND Shanghai Resort kuanza shughuli za majaribio kabla ya kufunguliwa Julai
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma