

Lugha Nyingine
Maisha ya kuhamahama ya mfugaji katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, China (7)
![]() |
Mfanyakazi wa hifadhi ya taifa ya mazingira ya asili ya Gogodtai Han Ul akihesabu mifugo inayoingia kwenye hifadhi hiyo katika Mkoa wa Mongolia ya Ndani, kaskazini mwa China, Juni 14, 2025. (Xinhua/Ma Jinrui) |
Saintsogt, mwenye umri wa miaka 55, mfugaji katika eneo la Bayin-undur la Ar Horqin Banner, Mkoa wa Mongolia ya Ndani Kaskazini mwa China, yuko katika pilika nyingi za uhamaji wa kila mwaka wa majira ya joto unaochukua umbali wa kilomita takriban 100. Kwa miongo minne iliyopita, amekuwa akikamilisha uhamaji huo kila mwaka.
Malisho ya mifugo ya Saintsogt ni sehemu ya Mfumo wa Kuhamahama wa Mbuga ya Ar Horqin, ambao uliorodheshwa kuwa mojawapo ya maeneo ya Mifumo Muhimu ya Urithi wa Kilimo Duniani (GIAHS) na Shirika la Chakula na Kilimo la Umoja wa Mataifa (FAO) Mei 20, 2022. Wafugaji katika eneo hilo bado wanahifadhi mila ya jadi ya kuhamahama hadi leo.
"Muda wa safari umefupishwa hadi siku tatu kutoka nane. Mvua hufanya malisho kukua vizuri, na mifugo ina malisho ya kutosha" amesema Saintsogt.
Mwaka huu, wafugaji kutoka kaya zaidi ya 1,200 na mifugo 128,000 katika eneo hilo la Bayin-undur wamehama.
Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
Migodi iliyotelekezwa yageuzwa kuwa vivutio vya kitalii katika Mkoa wa Shandong, China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma