

Lugha Nyingine
Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui (6)
![]() |
Mkulima akichuma majani ya chai katika Kijiji cha Houkeng cha Huangshan, Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China, Aprili 15, 2025. (Xinhua/Zhou Mu) |
Taiping Houkui ni chai maarufu ya kijani katika Mkoa wa Anhui, mashariki mwa China. Chai hiyo inayojulikana kwa majani yake bapa, marefu na membamba. Ikiwa inalimwa na kukuzwa katika mazingira safi ya Mlima Huangshan, chai hiyo inatengenezwa kwa mikono kwa makini sana, na kazi yake ikiwemo upashaji moto sufuria na kukaushwa kwa uangalifu. Chai hiyo ina harufu yake ya kipekee, ladha tulivu, na ladha tamu ya baada ya kuinywa. Ustadi wa kutengeneza chai hiyo ya Taiping Houkui iliorodheshwa kuwa moja ya mali ya urithi wa utamaduni usioshikika wa China mwaka 2008.
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma