

Lugha Nyingine
Ukumbi wa Kuutazama Mji wa “Kilele cha Tianjin” wa China wafunguliwa rasmi kwa umma (2)
Ukumbi wa Kuutazama Mji mzima wa “Kilele cha Tianjin” kwenye ghorofa ya 79 ya Kituo cha Mambo ya Kifedha cha Dunia cha Tianjin (TWFC) mjini Tianjin, kaskazini mwa China kimefunguliwa rasmi kwa umma jana Jumapili ambapo watalii sasa wanaweza kufurahia mandhari ya mji huo wa Tianjin kutoka urefu wa mita 310.
Kikiwa kinapatikana kando ya Mto Haihe katika eneo la katikati mwa Mji wa Tianjin, Kituo hicho cha Mambo ya Kifedha cha Dunia cha Tianjin (TWFC) kinaelekea angani kwa hadi urefu wa mita 336.9, ikikifanya kuwa mojawapo ya majumba marefu zaidi ya mji huo tangu kukamilika kwake mwaka 2011.
Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China
Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China
Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
Majira ya kuvuna mazao ya mpunga yawadia katika Mkoa wa Hainan, Kusini mwa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma