Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto 2025 latazamiwa kufunguliwa Tianjin kaskazini mwa China (4)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Juni 23, 2025
Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto 2025 latazamiwa kufunguliwa Tianjin kaskazini mwa China
Picha hii iliyopigwa Juni 22, 2025 ikionyesha ukumbi wa Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto 2025 mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhao Zishuo)

TIANJIN - Jukwaa la Uchumi Duniani la Majira ya Joto la Davos 2025 litafanyika kuanzia kesho Jumanne Juni 24 hadi Alhamisi Juni 26 katika Mji wa Tianjin, kaskazini mwa China, na maandalizi yote ya mkutano huo yamekamilika, waandaaji walisema Juni 17.

Pia likijulikana kwa jina la Mkutano wa 16 wa Mwaka wa Mabingwa Wapya wa Jukwaa la Uchumi Duniani, jukwaa hilo la mwaka huu la majira ya joto la Davos lina kaulimbiu ya "Ujasiriamali katika Zama Mpya" na linakadiriwa kuwa na washiriki 1,800 kutoka nchi na maeneo zaidi ya 90, waandaaji waliuambia mkutano na waandishi wa habari mjini Beijing wiki iliyopita.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha