Lugha Nyingine
Shirika la Ndege la Posta la China lazindua njia ya usafirishaji wa mizigo ya kimataifa kati ya Zhengzhou na Luxemburg
Shirika la Ndege la Posta la China limezindua rasmi njia ya usafirishaji wa mizigo ya kimataifa kati ya Mji wa Zhengzhou wa Mkoa wa Henan, katikati mwa China na nchi ya Luxemburg barani Ulaya jana Jumatatu, ikiwa na ratiba ya awali ya kila wiki. Usafiri wa ndege hiyo utaongezwa kulingana na mahitaji ya soko, ili kuimarisha zaidi "Njia ya Hariri ya Anga" ya Zhengzhou-Luxembourg kuwa ukanda unaostawi wa shughuli mbalimbali.

Kuendeleza urithi wa utamaduni usioshikika wa China - ustadi wa kutengeneza chai ya Taiping Houkui

Njia mpya za uendeshaji wa droni zaanza kutumika katika Mji wa Wuhan katikati mwa China

Shughuli za utalii za siku za lavender zahimiza maendeleo ya uchumi katika Mkoa wa Xinjiang, China

Wajenzi waendelea kujenga daraja refu zaidi duniani katika Mkoa wa Guizhou wa China
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
