

Lugha Nyingine
Rais Xi Jinping wa China akagua viwanda katika Mkoa wa Shanxi (2)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2025
YANGQUAN - Rais wa China Xi Jinping, jana Jumatatu alasiri alikagua viwanda vya kutengeneza vali katika Mji wa Yangquan, Mkoa wa Shanxi, kaskazini mwa China, ambako alifahamishwa kuhusu jitihada za mkoa huo za kuendeleza mageuzi na uboreshaji wa viwanda na maendeleo ya sifa bora.
Akiwa kwenye kampuni ya Yangquan Valve, Rais Xi alikagua karakana ya uzalishaji na eneo la kuonyesha bidhaa la kampuni hiyo, na kuzungumza kwa ukunjufu na wafanyakazi kwenye eneo husika.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma