Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 08, 2025
Mji wa Tianjin, China waharakisha ufungamanishaji wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi
Picha hii iliyopigwa tarehe 4 Julai 2025 ikionyesha mstari wa kuzalisha kompyuta mpakato wa kiwanda cha teknolojia za kisasa cha msawazisho wa kaboni cha Lenovo mjini Tianjin, kaskazini mwa China. (Xinhua/Zhao Zishuo)

Katika miaka ya hivi karibuni, Mji wa Tianjin, Kaskazini mwa China umekuwa ukidhamiria kujenga viwanda vya teknolojia za kisasa na kuharakisha ufungamanishaji wa kina wa uchumi wa kidijitali na uchumi halisi. Hadi kufikia sasa, mji huo umeshaanzisha viwanda vya teknolojia za kisasa na karakana za kidijitali jumla ya 400, ikihimiza mageuzi ya kidijitali ya sekta yake ya viwanda. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha