Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani wafunguliwa Beijing (2)

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani wafunguliwa Beijing
Wageni wakizungumza kwenye Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani uliofunguliwa Beijing, mji mkuu wa China, Julai 8, 2025. (Xinhua/Xing Guangli)

BEIJING – Mkutano wa 12 wa Reli ya Mwendokasi Duniani umefunguliwa Beijing, jana Jumanne, Julai 8, ukiwa na kauli mbiu ya "Reli ya Mwendokasi: Uvumbuzi na Maendeleo kwa Maisha Bora". Washiriki zaidi ya 2,000, wakiwemo mafundi wa reli, viongozi wa kampuni, maofisa wa serikali, na wajumbe kutoka mashirika ya kimataifa, wamehudhuria kwenye ufunguzi wa mkutano.

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha