

Lugha Nyingine
Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 yafunguliwa nchini Rwanda (6)
(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 09, 2025
![]() |
Watu wakitembelea banda kwenye Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 mjini Kigali, Rwanda, Julai 8, 2025. (Picha na Cyril Ndegeya/Xinhua) |
Maonyesho ya Kahawa na Chai ya Afrika 2025 (ACT Expo) yamefunguliwa rasmi Jumatatu huko Kigali, mji mkuu wa Rwanda, yakijiweka katika nafasi ambayo si tu shughuli moja bali pia ni jukwaa la kimageuzi la kusukuma viwanda vya kahawa na chai vya Afrika kwenye masoko mapya duniani.
(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)
Kuhusu Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma
people.cn © Tovuti ya Gazeti la Umma