Handaki la Mto Changjiang la Sabwei Laini 12 ya Wuhan, China latimiza mchakato mzima wa uchimbaji kwa mashine

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 17, 2025
Handaki la Mto Changjiang la Sabwei Laini 12 ya Wuhan, China latimiza mchakato mzima wa uchimbaji kwa mashine
Wajenzi wakifanya kazi kwenye handaki la Mto Changjiang la Sabwei Laini 12 ya Wuhan mjini Wuhan, Mkoa wa Hubei, katikati mwa China, Julai 16, 2025. (Xinhua/Xiao Yijiu)

Handaki la Mto Changjiang lenye urefu wa mita 4,011 la Sabwei Laini 12 ya mjini Wuhan katika Mkoa wa Hubei, katikati mwa China limetimiza mchakato mzima wa uchimbaji kwa mashine jana Jumatano. Laini hiyo ya sabwei yenye urefu wa kilomita 59.9 ni njia ndefu zaidi ya sabwei nchini China. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha