Utalii wa majira ya joto wastawi katika Wilaya ya Zhouning, Fujian, China

(Tovuti ya Gazeti la Umma) Julai 21, 2025
Utalii wa majira ya joto wastawi katika Wilaya ya Zhouning, Fujian, China
Picha iliyopigwa Julai 17, 2025 ikionyesha watalii wakitazama "tamasha la kijiji" katika Kijiji cha Ziyun, Tarafa ya Puyuan, Wilaya ya Zhouning, Mkoa wa Fujian, kusini mashariki mwa China. (Xinhua/Jiang Kehong)

Wilaya ya Zhouning, inayopatikana katika Mkoa wa Fujian, kusini-mashariki mwa China ikiwa kwenye mwinuko wa wastani wa mita 880 kutoka usawa wa bahari, inajivunia kiwango chake cha msitu cha asilimia 72.96. Joto la wastani huko katika kipindi cha majira ya joto ni karibu nyuzijoto 24.

Katika miaka ya hivi karibuni, wilaya hiyo imekuwa ikitumia nguvu zake bora za kipekee za kiikolojia na rasilimali za utalii wa kitamaduni kuendeleza utalii wa majira ya joto, ikivutia watalii zaidi ya 200,000 kwa mwaka. 

(Wahariri wa tovuti:Song Ge,Zhao Jian)

Picha